"Ngoma Ya Walevi" by Unspoken Salaton ft. YBW Smith
beat by:Brim
Mixed and mastered by:Unspoken Salaton
Stream:
#blackmarketrecords #unspokensalaton #ybwsmith #ngomayawalevi
Follow everything on Unspoken SALATON
TikTok:
Facebook:
Instagram:
Twitter :
Ngoma Ya Walevi Lyrics:
Ayayayaahh,
Ngoma ya walevi,
Ata haina
Ye huniitaga love child Na mi si wyre
Pongi naigonga kushinda beats by Dre
Raundi Ni Jas mbwegze mara ine
Yote Kwa jah kila siku will you guideth
Chini mandege,Shati Lacoste,
Ka Kuna pombe Mbona si tukose,
KuwaNywaku kuwalaku mmh mmh zote zote
Sikuitisha na akaileta at my doorstep
Eggs are cheap untill you fertilize one,
Snaga filter I might bring the black and white one
Unaeza Niita kenya juu Buda mi hu Daiwa,
Hapa shawries ,you get two if you buy one
Ayayayaahh,
Ngoma ya walevi,
Ata haina
Ayayayaahh,
Ngoma ya walevi,
Ata haina
Hii Ni ngoma ya walevi Na ata haina noma
Lakini tumezoza kila corner Kwa madonga
Kudunda mara Moja tukiangusha madoba
Angusha kitu fisa juu goshodo ana bompa
Nadunda pale bukla itabaki umejikopa
Itabidi umejichocha ndo ufurahishe madonga
Ushike that bompa ucheze nayo proper
Anguka nayo down chini twende Na iyo order
Ayayaya magoshodo wamejileta
Na magosho wanataka twende later
Juu wamejua hii Ndo mbogi inatesa
Juu wamerada tunacheza Na mpesa
Ayayayaahh,
Ngoma ya walevi,
Ata haina
,
Ngoma ya walevi,
Ata haina
Ngoma Ya Walevi 3 Piece: