POPNABLE kenia kenia

  • ʻaoʻao home
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Kakau inoa
  • E komo
  • ʻIke
    • ʻIke
    • Nā Mele
    • Mea Hana Mele
  • Papa Mele
    • Papa Mele
    • Mele 100 Wela - I Kēlā Me Kēia Lā
    • Nā Mele 100 Kiʻekiʻe - I Kēlā Me Kēia Lā
    • He 40 Mele
  • ʻaoʻao home
  • kenia
  • Nā mele
  • Rahisi
  • Nā Huaʻōlelo A Me Nā Unuhi

Nā Huaʻōlelo A Me Nā Unuhi - Rahisi

— mele ʻia e Femi One

"Rahisi" mele a me nā unuhi. E ʻike i ka mea nāna i kākau i kēia mele. E ʻimi ʻo wai ka mea hana a me ke alakaʻi o kēia wikiō mele. "Rahisi" haku mele, mele, hoʻonohonoho, nā kahua hoʻoheheʻe, a pēlā aku. ʻO "Rahisi" kahi mele i hoʻokani ʻia ma kawahili. "Rahisi" mele ʻia e Femi One
  • ʻaoʻao home
  • nā huaʻōlelo a me nā unuhi
  • papa mele
  • helu helu
  • loaʻa kālā
  • kūʻai i ke mele
Rahisi Mele Mele
Download New Songs

Listen & stream

×

Nānā ma Youtube

×
wikiō
Rahisi
ʻāina


 Kenia Kenia
Hoʻohui ʻia
01/01/1970
Hōʻike
[ʻAʻole pili mele ] [Pākuʻi Mea Kiʻi Pili] [Wehe i ka Artist Linked] [Pākuʻi Lyrics] [Hoʻohui i ka unuhi unuhi]

"Rahisi" Nā mele

Loaʻa iā "Rahisi" nā mele ma kawahili ʻōlelo.
"Rahisi" no ka kawahili ʻōlelo a ʻaʻole i hoʻololi ʻia i ka unuhi Pelekane.

#Rahisi #kakaempireisthelifestyle #FemiOne
A Kaka Empire 2023 presentation.
Audio Produced by Sifa for Kaka Empire Studios
Video created By Pete Designs

Single off the Dem Kutoka Mwiki EP

LYRICS
Verse: (Femi One)

Naskia fununu chemi chemi za mitaa
Wameshindwa kunihandle wanasema Femi'n star akuna news apa unoma mi inakwanga
Queen tangu Roma ichukue league ya Serie A -

Mkiwa juu ya kemikal na mashimi shimi ya skss skss minko rikoo nawapikia mabidhaa
Mama yao nmelelewa na Zakaa wa ukoo flan
Mi ndo culture na ndo maana mi na wao hatsikilizan

Naifanya easy uski nai fanya rahisi
Game nimekafunga ndo ni shamba ya rizki Uno ka nko ndani ujue inakwanga mazishi
Naikula, naikunywa na naiwasha na zigi

Nakumbuka tukikopa mapeni
Leo naquote mamita kuwaroga wikendi
Hii mchezo nilianzanga bila kocha na jezi
Femi one mama theirs na nasonga vimessi

Chorus ;

Raisiiiii naifanya rahisi ….



Stingo zangu different kama jersey ya keeper
Quality consistent cheki kazi inajipa
Mashabik nna kibao unaeza dhani Madiba
N'julikana sekta zote mashinani naskika -

, mi ni ka Mandonga na strong hook
N'shakata mafala na manyoka kwa phone book
Kateenager kako na title deed na log book
Nyi mlikwa mnastikisha wasanii kwa song book (huh)

Kumechemka na your favourite star
Trio Mio, nani alidhani ningemake this far? -
Niliwaachia kalesa nimepull ndani ya KCR
The boy is sick wanafaa wan'peleke MP

Nakumbuka tukisota madeni
Leo nachapa interviews nabonga na wengi
Mechi nilianzanga bila kocha na jezi kakijana machachari nawatoka vimessy -

Rahiiiiiiisi

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)