POPNABLE tanazania tanazania

  • ʻaoʻao home
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Kakau inoa
  • E komo
  • ʻIke
    • ʻIke
    • Nā Mele
    • Mea Hana Mele
  • Papa Mele
    • Papa Mele
    • Mele 100 Wela - I Kēlā Me Kēia Lā
    • Nā Mele 100 Kiʻekiʻe - I Kēlā Me Kēia Lā
    • He 40 Mele
  • ʻaoʻao home
  • tanazania
  • Nā mele
  • Baba Lao
  • Nā Huaʻōlelo A Me Nā Unuhi

Nā Huaʻōlelo A Me Nā Unuhi - Baba Lao

— mele ʻia e Diamond Platnumz

"Baba Lao" mele a me nā unuhi. E ʻike i ka mea nāna i kākau i kēia mele. E ʻimi ʻo wai ka mea hana a me ke alakaʻi o kēia wikiō mele. "Baba Lao" haku mele, mele, hoʻonohonoho, nā kahua hoʻoheheʻe, a pēlā aku. ʻO "Baba Lao" kahi mele i hoʻokani ʻia ma kawahili. "Baba Lao" mele ʻia e Diamond Platnumz
  • ʻaoʻao home
  • nā huaʻōlelo a me nā unuhi
  • papa mele
  • helu helu
  • loaʻa kālā
  • kūʻai i ke mele
Baba Lao Mele Mele
Download New Songs

Listen & stream

×

Nānā ma Youtube

×
wikiō
Baba Lao
ʻāina


 Tanazania Tanazania
Hoʻohui ʻia
01/01/1970
Hōʻike
[ʻAʻole pili mele ] [Pākuʻi Mea Kiʻi Pili] [Wehe i ka Artist Linked] [Pākuʻi Lyrics] [Hoʻohui i ka unuhi unuhi]

"Baba Lao" Nā mele (Swahili)

S2kizzy baby!
Ayoo Lizer

[Hook: Diamond Platnumz]
Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Makonda baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao

[Verse 1: Diamond Platnumz]
Ngoma kwa ngoma ni kopo koko
Leo ndani twakesha popo
Waiter tasambazia moko moko
Moja baridi, Moja moto
Mmechoka eti?? (Aaah! Wapi)
Mnataka lala?? (Aaah! Wapi)
Tungi limezidi?? (Aaah! Wapi)
Tuzime muziki??(Aaah! Wapi)

[Bridge: Diamond Platnumz]
Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba??
Inogile inatamba, basi chanika musamba
Eeeh!! Wataweza kweli?? (Aaah! Wapi)
Kushindana nasi?? (Aaah! Wapi)
Hata wakiungana?? (Aaah! Wapi)
Matusi kututukana?? (Aaah! Wapi)


[Hook: Diamond Platnumz]

Dangote baba lao (Baba lao)

Simba baba lao (Baba lao)

Chibu baba lao (Baba lao)

Mondi baba lao (Baba lao)

Eeeh Zombie (Baba lao)

Magufuli baba lao (Baba lao)

Mwakyembe baba lao (Baba lao)

Wasafi chama lao


[Verse 2: Diamond Platnumz]

Hajib selema, Adija Selema (Selema)

Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema)

Amefosi bifu mseleleko (Eeeh! Tumemkwepa)

Amebaki masononeko (Eeeh! Wanamcheka)

Kwanza kunja goti (Lee kunja goti)

Kisha vua shati (Eeeh vua shati)

Cheza kama monkey (Aiii!)

Vunja ukidanki danki

Eeeh! Tumewachapa (Kidude)

Hakichomoki (Kidude)

Kimewanasa (Kidude)

Wanatapatapa (Kidude)


[Bridge: Diamond Platnumz]

Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!

Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!

Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!

Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!


[Hook: Diamond Platnumz]

Dangote baba lao (Baba lao)

Simba baba lao (Baba lao)

Chibu baba lao (Baba lao)

Mondi baba lao (Baba lao)

Eeeh Zombie baba lao (Baba lao)

Magufuli baba lao (Baba lao)

Majaliwa baba lao (Baba lao)

Wasafi chama lao


[Bridge: Diamond Platnumz]

Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo)

Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo)

Jamani navua (acha uongo)

Mama navua (acha uongo)

Mwenzenu navua (acha uongo)

Eeeeh! Kuna Basata

Basi napiga Yope (Huwezi)

Ooooh! Napiga Yope (Huwezi)

Iyobo napiga Yope (Huwezi)

Mi napiga Yope (Huwezi)


Eeeeh X12


Tale napiga Yope (Huwezi)

Mi napiga Yope (Huwezi)

Momo napiga Yope (Huwezi)

Fungwe napiga Yope (Huwezi)


Eeeeh X12

Nā unuhi (English)

S2kizzy baby!
Ayoo Lizer

[Hook: Diamond Platnumz]
Dangote their father (their father)
Lion their father (their Father)
Chibu their father (their father)
Mondi Father (Father)
Eeeh Zombie The One (Father Lao)
Magufuli their father (their father)
Loving their father (Father)
Clean their party

[Verse 1: Diamond Platnumz]
Dance to dance is an opener
Today we are watching the bats
Waiter distributes individually
One cold, One hot
Tired of it ?? (Ahaah! Where)
Do you want to sleep ?? (Ahaah! Where)
The jar is thicker ?? (Ahaah! Where)
Turn off music ?? (Aaah! Where)

[Bridge: Diamond Platnumz]
Asa let's go a bit, in parallel, How does it work ??
Inogile crawls, then wash in the shower
Yeah !! Will they really ?? (Ahaah! Where)
Compete with us ?? (Ahaah! Where)
Even connecting ?? (Ahaah! Where)
Blasphemy blasphemy ?? (Ahaah! Where)

[Hook: Diamond Platnumz]
Dangote their father (their father)
Lion their father (their Father)
Chibu their father (their father)
Mondi Father (Father)
Eeeh Zombie (My Father)
Magufuli father (Father)
The Father (Father)
Clean their party

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Hajib selema, Adija Selema (Selema)
Mondi nyangema, Shimo has said
The missions are challenging (Eeeh!
Remains inebriated (Yeah!
First out knee (Lee out knee)
Then take off the shirt (Eeeh take off the shirt)
Play like a monkey (No!)
Break the duck duck
Yeah! We have beaten them (Little)
Doesn't Burn (Little)
Captured (Remote)
Stinging (Little)

[Bridge: Diamond Platnumz]
Cheese kicked again! Cheese .. Cheese curled again eeeh!
Cheese kicked again! Cheese .. Cheese curled again eeeh!
Cheese kicked again! Cheese .. Cheese curled again eeeh!
Cheese kicked again! Cheese .. Cheese curled again eeeh!

[Hook: Diamond Platnumz]
Dangote their father (their father)
Lion their father (their Father)
Chibu their father (their father)
Mondi Father (Father)
Eeeh Zombie The One
Magufuli father (Father)
Dear Father (Father)
Clean their party

[Bridge: Diamond Platnumz]
If a ghost comes up with this shirt I pull it off (stop lying)
If a ghost climbs with this bullet and pull (stop lying)
Try to get off (stop lying)
Mummy (leave false)
Colleague uncover (stop lying)
Yep! There is Basata
So I call Yope (You can't)
Ooooh! Call me Yope (You can't)
Yes I bet Yope (You can't)
I beat Yope (You can't)

Eeeeh X12

Tale I call Yope (You can't)
I beat Yope (You can't)
I call Yope (You can't)
Wrap up Yope (You can't)

Eeeeh X12

Baba Lao is a swahili slang that means being on top of everything or ahead of everything.

Get A Boy From Tandale Album

For Bookings:
Email:bookplatnumz@ | @

Video Shot By Director Kenny From Zoom production
Contact Zoom Production:
zoomproduction4@
directorkenny1@
+255718546547

Catch Up With Diamond Platnumz On:
Instagram:
Facebook:
Twitter:

#Wasafi #Diamondplatnumz #Babalao

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)